Manford
Mtwango mkazi wa Kitunda Dar es Salaam, alivutiwa na Mojaspesho tu baada ya
kusikia matangazo akaamua na yeye ajiingize kwenye hii fursa. Baada ya muda wa miezi
minne ya kucheza mpaka kieleweke, kweli kimeeleweka mwezi huu wa tisa.
Manford ni
kijana wa miaka 39 tu, ni muajiriwa kwenye hoteli moja kubwa jijini Dar es
Salaam ambaye kajishindi mshiko wa papo hapo wa laki tano.
“Sikuamini
huu mchezo mpaka pale nilipo pigiwa simu nimeshinda. Mojaspesho ni mchezo wa
kweli na mrahisi, ushindi ni wa kweli na mkubwa”
Manford
alipata ushindi wake baada ya kucheza namba zake spesho 164 kwenye droo za
dakika kumi. Ushindi unanukia, usikate tama kwani hauwezi kujua bahati yako
imejificha tarehe gani.
Nawe pia
unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza
Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda
kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua
lipia bili
3. Ingiza
kampuni namba 123255
4. Ingiza
kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi
kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.
0 Comments